27.1 C
Dar es Salaam
Sunday, February 5, 2023

Contact us: [email protected]

Mbappe kuuza sita Madrid

MADRID, Hispania

REAL Madrid itawapiga bei mastaa wake sita pindi tu dirisha la usajili la Januari, mwakani, litakapofunguliwa.

Mpango huo umelenga kuipa Madrid nguvu ya kumsajili mpachikaji mabao hatari wa PSG na timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe, sambamba na Erling Braut Haaland.

Rais wa klabu hiyo, Florentino Perez, amepanga kuwauza Isco, Gareth Bale, Marcelo, Jesus Vallejo, Luka Jovic na Eden Hazard.

Inafahamika kuwa Madrid haitaambulia chochote endapo Isco na Bale wataondoka mwishoni mwa msimu huu kwani watakuwa wamemaliza mikataba yao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,471FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles