25.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 16, 2024

Contact us: [email protected]

Mbagala Queens na Allan Queens Zaneemeka na Meridianbet

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/xdodhv

Ukiambiwa kuwa Meridianbet Tanzania ni kubwa uwe unaelewa kuwa wanamaanisha wanapita kila kona hapa Tanzania na kuangazia pale ambapo kuna uhitaji wa kitu fulani na wao hutoa. Na hii leo wameamua kuwagusa wanawake ambao wanajihusiha na michezo na kuwapatia jezi pamoja na mipira kwa timu mbili ambazo ni Mbagala Queens na Allan Queens.

Meridiabet walikaa chini na kutafakari kuwa waje kitofauti awamu hii huku wakipanga wamfikie nani ndipo wakaangukia kwa wanawake wanaojishughulisha na michezo. Kilichowasukuma mpaka kutoa jezi na mipira kwa wanawake ni uhitaji mkubwa uliokuwepo na kuwatia nguvu wanawake wanojihusisha na michezo kwa namna moja ama nyingine. 

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Baada ya kutoa vifaa hivyo,mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Meridianbet bwana Matina Nkurlu amesema “ Huu ni mwanzo tu tumeona tuanze na timu hizi mbili, Mbagala Queens na Allan Queens ya Dodoma kwakua hawa walitufikia siku chache zilizopita kwa barua rasmi, na kwakua wanajiandaa na mashindano ya ligi ya daraja la kwanza , tukaona tuwatafute na kuwatia nguvu.”

Bwana Masoko aliendelea kusema kuwa ndani ya Meridianbet wanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwani wao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWA mpaka machaguo zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Vile vile baada ya kupokea vifaa hivyo kiongozi wa Allan Queen bi Amina Bakari  amesema “Hili ni jambo ambalo makampuni mengi yanapaswa kuiga na  tunaishukuru sana Meridianbet kwa moyo huu wa kujitolea na zaidi kuona umuhimu wa kusaidia hizi timu za wanawake, Sisi kama ALLAN QUEENS , tunawaahidi tutafanya vizuri kwenye mashindao yanayofuata.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles