25.2 C
Dar es Salaam
Thursday, September 23, 2021

Mayweather ulingoni Juni

Miami, Marekani

Mkali wa ndondi duniani, Floyd Mayweather, atapanda ulingoni Juni 6, mwaka huu, kuzichapa na Logan Paul.

Mpinzani wake huyo ni staa wa mtandao wa Youtube, hivyo si pambano la ushidani bali la hisani tu.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotoka kwa waandaaji, pambano hilo litapigwa katika Ukumbi wa Hard Rock ulioko Miami, Marekani.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,796FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles