HomeBungeni BungeniKimataifaKitaifa Matukio kwa Picha: Rais Samia atembelea Bunge la Norway By Mtanzania Digital February 13, 2024 0 3041 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewasili Oslo, Norway kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg katika Ofisi za Bunge hilo jijini Oslo Februari 13, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo Februari 13, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg mara baada ya mazungumzo katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo Februari 13, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni katika Ofisi za Bunge la Norway (Storting) Februari 13, 2024. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleDk. Kikwete: Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Taifa, mema yake hayafutikiNext articleRais Samia awasili Norway kwa ziara ya Kitaifa Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz Related Articles Burudani Jonathan Budju afunga mwaka na ‘My Savior’ Michezo Kitaifa Dabi ya Kariakoo Wanawake kesho, je kuna mpangaji atahama uwanja? Biashara na Uchumi Halotel yazindua promosheni ya ‘Kiwashe na Halopesa’ LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Burudani Jonathan Budju afunga mwaka na ‘My Savior’ Michezo Kitaifa Dabi ya Kariakoo Wanawake kesho, je kuna mpangaji atahama uwanja? Biashara na Uchumi Halotel yazindua promosheni ya ‘Kiwashe na Halopesa’ Kitaifa Waziri Mkuu: Baraza la Mawaziri sasa Kidigitali Elimu na Teknolojia Watahiniwa 557,731 kufanya Mtihani wa kidato cha Nne mwaka 2024 Load more