26.2 C
Dar es Salaam
Thursday, June 1, 2023

Contact us: [email protected]

Matukio kwa picha: CEO NMB ampa tano Dk. Mwigulu

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba akipongezwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna nje ya Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma baada ya kumaliza kusoma Hotuba ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2021/2022.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna nje ya Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma baada ya kumaliza kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2021/2022.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,225FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles