22.8 C
Dar es Salaam
Thursday, October 6, 2022

Matip aidengulia Cameroon

BEKI wa kati wa Liverpool, Joel Matip, amekataa wito wa kujumuhishwa kwenye kikosi cha timu yake ya taifa ya Cameroon kinachojiandaa kucheza mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwakani.

Matip hajaichezea Cameroon tangu alipotangaza kustaafu majukumu ya timu ya taifa mwaka 2016 kwa madai ya kuelekea akili na nguvu kuisaidia Liverpool.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,814FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles