24.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 16, 2024

Contact us: [email protected]

Master Jay: Tulikuwa wapenzi miaka 10 bila kujulikana

master j na shaaNA THERESIA GASPER

MTAYARISHAJI wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, amesema alikuwa katika uhusiano wa kimapenzi na msanii Sarah Kaisi, ‘Shaa’ kwa miaka 10 bila kuweka wazi.

Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Master Jay alisema walikuwa katika mapenzi ya siri kwa muda wote huo hadi walipoamua kuweka wazi hivi karibuni baada ya watu kuhisi uhusiano wao.

“Nilimpenda Shaa kwa sababu ni msichana anayejielewa pamoja na kazi zake anazozifanya ni nzuri, hata hivyo tumeendana katika mapenzi yetu,’’ alielezea.

Mtayarishaji huyo ana watoto watatu kwa mke wake na hawana mtoto na Shaa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles