31.2 C
Dar es Salaam
Saturday, December 2, 2023

Contact us: [email protected]

MASHINDANO YA NDOTO YA MTAA YAZIDI KUPAA

Na Elias Simon

Dar es salaam

Mashindano ya kusaka vipaji kwa vijana “ndoto ya mtaa” Yazidi kupaa ambapo mchakato uliopo sasa ni kulenga mchujo wa washiriki waliopo ili kuwapata watatu bora wataoshirikishwa kwenye kolabo na wasanii wakubwa ndani ya Tanzania kama Young D, Mr T touch na Chemical.

Akizungumza na Mtangazaji wa MtanziaDigital, mratibu wa Mashindano hayo  amabye pia ni meneja wa msanii wa Young D, Ibenation alisema kwa sasa hatua iliyopo wamepata vijana kumi ambapo mchujo ulifanyika ndani ya Tanzania nzima kwa kuwapata washiriki tofauti tofauti lakini kupitia mchujo tulipoanza hadi sasa wamefikia washiriki  kumi bora (10) tu.

“Kwa hatua iliyopo sasa ni Kumi bora, ambapo tunatarajia kuwapata washiriki watatu bora ambao wataenda kushirikiana na wasanii wakubwa ndani ya Tanzanai” alisema Ibenation

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles