23.8 C
Dar es Salaam
Sunday, June 4, 2023

Contact us: [email protected]

Mashabiki United washambuliwa Poland

Hassan Daudi na Mitandao

Baadhi ya mashabiki 2,000 wa Manchester United waliokwenda Poland kwa mchezo wa leo dhidi ya Villarreal wamefanyiwa vurugu na waliotajwa kuwa ni wazawa wa nchi hiyo.

Huku ikifahamika kuwa mchezo huo wa leo ni wa fainali ya Ligi ya Europa, mashabiki hao walivamia usiku wa jana wakiwa katika moja ya baa za mjini Gdansk.

Katika vurumai hilo, mashabiki watatu wa Mashetani Wekundu walipata majeraha madogo.
Wayne Rooney ni sehemu ya waliokwenda kuisapoti Man United nchini Poland, ingawa hakuwa kwenye vurugu hizo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,284FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles