27.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 7, 2023

Contact us: [email protected]

MASAUNI: HALI YA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA NI MBAYA

JESHI la Magereza nchini limetakiwa kufanya mabadiliko mbalimbali ikiwemo ujenzi wa nyumba za askari na kuanza msimu mpya wa kilimo kwa kufanya uzalishaji wa chakula hasa katika magereza ya kilimo ikiwemo Gereza la Namajani lililoko Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.

Hayo ni kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni ambaye alitembelea Gereza la Lilungu na Namajani na kusema kuwa hali ya makazi ya askari wa jeshi la magereza ni mbaya.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,885FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles