31.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 11, 2024

Contact us: [email protected]

MARAIS WA MAREKANI NA KOREA KUSINI WAZUNGUMZA

 

Rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Korea Kusini wamezungumza kwa njia ya simu kwa mara ya kwanza suala kuu likiwa ni majaribio ya hivi karibuni ya silaha za nyuklia za Korea Kaskazini.

Trump amedhihirisha furaha yake kuwa alivutiwa na Umoja wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakati lilipounga mkono vikwazo vipya dhidi ya Pyongyang.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Waziri Mkuu wa Korea Kaskazini naye amefanya mazungumzo na Waziri mwenzie kutoka Korea Kusini kwenye mkutano wa masuala ya usalama nchini Philippines na kunukuliwa akisema Souls imetoa nafasi nyingine ya mazungumzo mapya. Source BBC

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles