Man United yakataliwa ofa ya kumsajili Odion Ighalo

Odion Ighalo
Odion Ighalo
Odion Ighalo

Klabu ya Manchester United ilionesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa timu ya Watford, Odion Ighalo, raia wa nchini Nigeria, klabu ya Watford imekataa ofa kutoka kwa Manchester United na inaangalia ofa kutoka klabu za nchini China zilizovutiwa na mchezaji huyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here