24.8 C
Dar es Salaam
Thursday, September 21, 2023

Contact us: [email protected]

Man Fongo: Uhuni unaichelewesha Singeli

Na GLORY MLAY

MWIMBAJI nyota wa Singeli nchini, Aman Khamis ‘Man Fongo’, amesema  sababu ambayo ilifanya muziki huo uchelewe kupata mafanikio kwenye soko ni dhana ya uhuni iliotawala tasnia hiyo.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Man Fongo alisema muziki huo ulikuwa umeaminika kuwa ni wa kihuni  kutokana na tungo zake, uchezaji wake hata ubora wa studio walizokuwa wanatumia kurekodi.

 “Muziki huu bado ni mchanga na watu bado walikuwa hawajaupokea, unakuta watu wanacheza na siraha, watu wanaibiana lakini sasa hivi kina mama, watoto, masela na kila mtu anacheza mpaka tunaingia studio kubwa kurekodi,”, alisema Man Fongo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,690FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles