Man City kuwaongezea siku 1 zaidi Liverpool kusubiri taji baada ya miaka 30

28
516

Siku muhimu sana pale Stamford Bridge! Hii ni mechi ambayo inaweza kutupa jibu la nani bingwa katika Ligi Kuu ya Uingereza. Bila shaka, Man City bado wanataka kuwakwamisha Liverpool, watahitaji kukamilisha kibarua hiki kigumu kwa kusepa na ushindi kutoka wapinzani wao wa London.

Unachopaswa kufahamu, hapa Meridianbet kuna idadi kubwa sana ya odds zinazoisubiri mechi hii. Matokeo mengine yeyote zaidi ya Man City kushinda ina maana baada ya miaka 30 ya kusubiri, hatimaye Anfield wanapokea taji. Chelesa hawatataka kufunikwa wakiwa nyumbani, watapambana vilivyo kujiongezea gepu la pointi dhidi ya mpinzani wake aliyepo nafasi ya 5 kujihakikishia nafasi yao katika Ligi ya Mabingwa.

Macho yote ya wapenzi wa soka la Uingereza, hasa mashabiki wa Liverpool, yalikuwa yakitazama Man City alichomfanya Burnley, matokeo yalikuwa yaliwafurahisha sana wazee wa mikeka.

Meridianbet inakupa maana tofauti kabisa ya Double Bet, ili tiketi yako iweze kushinda – unahitaji kupatia moja tu kati ya bashiri zako mbili. Unganisha matokeo ya mwisho na idadi ya magoli na ujitengenezee nafasi ya kushinda. Kuna sababu kibao za kujisajili sasa na Meridianbet.co.tz kisha endelea kujilipa na soka la Uingereza kwa staili yako – Unapata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuanzia 5000 wa kuweka pesa kwenye akaunti

28 COMMENTS

  1. Hii in mechi ngumu sana maana City bado atataka kujiwekea nafasi nzuri katika kumvukuzia Liverpool na Chelsea atajaribu kakataa uteja nyumbani kwake

  2. Kwa mechi hii no ngunu sana Chelsea kuchomoka sena Moira dakika 90 kwa hiyo tunamuachia mwamuzi na wachezaji ila yamungu mengi Chelsea anaweza kumuangusha Manchester city hata kama yupo katika nafasi ya pili atapigwa tu

  3. Bonge la mechi maana chelsea anataka anataka kujiakikishia nafasi ya tatu katiak msimamo wa ligi maana kama atapoteza mechi hii itakuwa kuna utofauti kati ya arama mbili kati na man u

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here