22 C
Dar es Salaam
Sunday, June 4, 2023

Contact us: [email protected]

MAMIA KUMUAGA AKWELINA LEO, KUZIKWA KESHO K’NJARO


VERONICA ROMWALD NA PATRICIA KIMELEMETA - DAR ES SALAAM

MWILI wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwelina Akwilini, aliyeuawa kwa kitu kinachodhaniwa ni risasi, unatarajiwa kuagwa leo chuoni hapo na mamia ya wananchi na wanafunzi kisha kusafirishwa kwenda Rombo Kilimanajro kwa maziko yaliyopangwa kufanyika kesho.

Kaka wa marehemu ambaye pia ni Katibu wa Kikao cha Kamati ya Maziko, Moi Kiyeyeu, alisema: “Awali ilikuwa mwili utachukuliwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kuletwa nyumbani kisha utapelekwa NIT, ratiba imebadilika. Tumekubaliana utapelekwa moja kwa moja chuoni na wote tutaaga pale.

“Ndugu yetu alikuwa Mkatoliki, hivyo taratibu zote za misa zitafanyika pale, na tayari viongozi wa kanisa wanasimamia suala hilo vizuri kabisa.”

Alisema baada ya taratibu za kuaga mwili kumalizika, utasafirishwa kuelekea Rombo mkoani Kilimanjaro kwa maziko.

“Serikali imetupa …

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,284FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles