31.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 10, 2024

Contact us: [email protected]

Mama wa kambo kunipora mali za uridhi ila….!

Kwa majina naitwa Emmanuel Joseph mkazi wa Meru, nakumbuka mwaka 2021 nilifiwa na Baba yangu, ilikuwa kwenye ajali ya pikipiki, alifariki yeye na aliyekuwa mkewe baada ya kuachana na Mama yangu.

Ilikuwa ni uzuni kwangu maana bado nilikuwa ndio nimemaliza Chuo Kikuu kwa hiyo bado nilikuwa sijaweza kuwa na maisha mazuri ya kusema naweza kujitemea moja kwa moja.

Binafsi nakumbuka kuna vitu mzee aliviacha, vingine aliandika kwa jina langu maana mimi nilikuwa mtoto wa kwanza kwake, hivyo vyote vingekuwa ni mali zangu.

Hakubahatika kufunga ndoa na mama yangu, baada ya kuachana na Mama, alioa mke mwingine ambaye nae alizaa nae watoto wawili, waliachana pia na akaenda kuoa mwanamke mwingine ambaye alifariki nae katika ajali ya gari.

Kilichonishangaza, baada ya kumzika Baba nilijikuta nimeondoka nyumbani, sikurudi tena na sikufuatilia nini kiliendelea baada ya hapo, hivyo sikuweza kujua zile mali zipo katika hali gani.

Baada ya miaka mingi kupita ndio nikakumbuka kuna vitu Mzee aliniachia, bahati mbaya tayari vitu vyote vipo chini ya yule mwanamke mwingine aliyezaa nae watoto wawili, na sijui chochote kilichotokea upande wa sheria na mirathi.

Mimi na Mama yangu hatukukumbuka kudai kitu chochote cha Mzee, nikawa kila nikipanga kufuatilia najikuta nasahau au napotezea bila kuchukua hatua yoyote ile.

Yaani ilikuwa nikienda kutafuta msaada kwa mwanasheria kufuatilia suala hilo sirudi tena pale kufuatilia matatizo yangu, yaani inakuwa hivyo, mpaka nilipokuja kugundua kuna tatizo.

Kuna siku nilienda kwa Baba mdogo na kumuelezea hiyo shida yangu, ndipo alipochukua simu yake na kumpigia mtu aliyeniambia  anaitwa Dr Bokko na kusema anaweza kutatua suala hilo ndani ya muda mfupi tu.

“Mwanangu hilo ni suala dogo sana mbele ya Dr Bokko, mimi namjua kwa miaka mingi na watu wengi ambao nimewaelekeza kwake kwa hakika wamepata kile walichokuwa wanahitaji,” alisema.

Baada ya kuongea naye tuliamua kwenda hadi ofisini kwake, huku  alitufanyia dawa zake pamoja na matambiko na kutumbia yule mwanamke aliyezaa na Baba watoto wawili ndiye amefanya ushirikina na ili kuchukua mali hizo.

Tulimuomba aondoe ushirikina huo na kweli akafanya hivyo, baada ya wiki moja nilirudi nyumba na kuchukua baadhi ya mali ambazo Baba aliandika kuwa ni zangu bila kizuizi chochote kile na sasa naishi maisha yangu vizuri nikifurahia urithi alioacha baba.

Ukiachana na hayo, Dr Bokkoana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara n.k. Mpigie Dr Bokko sasa kwa namba +255618536050.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles