Mama Diamond ajisifia ustaa

0
1314

GLORY MLAY

MAMA mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesema kuwa yeye ndiye mama ‘star’ zaidi hapa nchini.

Amesema kitendo cha Diamond Platnumz kujulikana nchi za Afrika Mashariki na Kati kumemfanya na yeye kuwa maarufu.

“Hakuna mama wa masanii hapa nchini maarufu kama mimi, kwanza mwanangu anajulikana mataifa mbalimbali kutokana na kazi yake ya muziki.

Mama Diamond ajisifia ustaa “Hivyo naweza kusema na mimi ni staa kwa kuwa ninajulikana sana, ninajivunia uwepo wake,” alisema mama wa msanii huyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here