Mahakama Kuu yakubali maombi ya Bodi ya Wadhamini CUF

0
561

ibrahim_lipumba

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imekubali maombi ya Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Wananchi (CUF) ya kutaka kuwasilisha maombi ya kesi ya msingi ya kufuta uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji, Francis Mutungi wa kumtambua Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.

Kesi hiyo iliwakilishwa na Wakili Juma Nassoro na katika kutoa maamuzi, Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaama, Ama –Isario Munisi alisema mahakama imeridhia kuwasilishwa kwa maombi ya kesi ya msingi ndani ya siku saba ili ianze kusikilizwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here