24.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 30, 2023

Contact us: [email protected]

Mahakama kuu kufuta hukumu ya kifo Malawi

-Lilongwe

Mahakama kuu nchini Malawi imefuta adhabu ya kifo kwa wafungwa kwa madai ya kuwa ni kinyume cha sheria na Viwango vya kimataifa vya haki za binadamu.

Mabadiliko hayo yamefanya kuwa adhabu kubwa nchini Malawi kwa wafungwa itakuwa hukumu ya kifungo cha Maisha gerezani.

Pia mahakama kuu nchini Malawi haijawai kutoa hukumu ya kifo tangu mwaka 1975.

Malawi sasa imekuwa nchi ya 22 ukanda wa mataifa ya Jangwa la Sahara kusitisha adhabu ya kifo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,203FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles