Magufuli awapa maagizo mazito wakuu wa mikoa

0
904
SALAMU: Rais Dk. John Magufuli akiwapungia mkono kuwasalimia wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Sabasaba Chunya kabla ya kuwahutubia jana.

Na AGATHA CHARLES

RAIS Dk. John Magufuli ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa mitano ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Singida na Arusha kujenga kituo cha soko la ununuzi wa madini katika mikoa yao ndani ya siku saba.

Katika hilo, Rais Magufuli pasipo kufafanua alimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuacha kwanza dhambi zake za kutamanitamani na kutamani kujenga kituo hicho huku akitoa siku saba kikamilike kisha akaombe na kutubu.

Rais Magufuli aliyasema hayo jana katika mkutano wake uliofanyika Chunya mkoani Mbeya akiwa katika ziara yake.

Alisema maagizo hayo aliwahi kuyatoa alipokutana na viongozi wa madini pamoja na wa mikoa yote ya Tanzania bara.

Rais Magufuli alisema licha ya kutoa maelekezo kuwa wakafungue …

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here