32.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, October 20, 2021

MAGUFULI AMTUMBUA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU

Na Mwandishi Wetu-DODOMA


RAIS Dk. John Magufuli ametengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Uledi Mussa.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, ilieleza kwamba kutenguliwa kwa uteuzi na kusimamishwa kazi kwa Uledi kunaanzia jana.

Kwamba hatua hiyo imechukuliwa ili kupisha uchunguzi zaidi dhidi ya Uledi kutokana na kutozingatiwa kwa taratibu zinazotakiwa katika kushughulikia masuala ya uwekezaji.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,579FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles