27.6 C
Dar es Salaam
Sunday, November 28, 2021

MADURO: WAUAJI WA MJINI VALENCIA WAADHIBIWE VIKALI

Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ametaka adhabu kali itolewe kwa watuhumiwa kumi juu ya shambulio dhidi ya jeshi katika mji wa Valencia.

Rais Maduro amesema mmoja miongoni mwa watuhumiwa hao alikuwa na cheo cha Luteni , wengine ni raia ambao aliwaelezea kama wenye nasaba na jeshi.

Watu wengine wawili walifariki dunia katika mauaji hayo ingawa kikundi kingine cha waasi kilichokuwa na silaha walikimbia katika eneo hilo.

Zoezi kali la kuwatafuta waasi hao linaendelea katika mji wa Valencia.

 

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,186FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles