26.2 C
Dar es Salaam
Thursday, June 1, 2023

Contact us: [email protected]

Madrid, Juve kutoshiriki Mabingwa Ulaya

Madrid, Hispania

Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) huenda likazizuia Real Madrid na Juventus kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kipindi cha mwaka mmoja.

UEFA wamekasirishwa na kitendo cha klabu hizo kushiriki katika kuanzisha michuano iliyopingwa duniani kote ya European Super League (ESL).

Rais wa Madrid, Florentino Perez, sambamba na Mwenyekiti wa Juve, Andrea Agnelli, walikuwa mstari wa mbele kuisapoti michuano hiyo iliyolenga kuiua Ligi ya Mabingwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,225FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles