MADIWANI MERU WAOMBA KUFANYA KAZI ZA KUJITOLEA

0
770


Baadhi ya madiwani wa Chadema Meru waliojizulu, wameomba kufanya kazi za kujitolea katika Halmashauri ya wilaya ya Arusha Vijijini.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa halmashauri ya Arusha Vijijini, Dk Charles Mahera, alipokuwa akijibu swali la papo kwa papo, lililohoji baadhi ya madiwani hao kuajiriwa katika halmashauri hiyo, ambapo alipinga kuajiri madiwani hao.

Hadi sasa madiwani 6 wa Chadema wamejiuzulu wakiwemo watano kutoka Meru na mmoja kutoka Halmashauri ya Jiji la Arusha.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here