Madhara wanayopitia kinamama waliofunga tumbo baada ya kujifungua
Na AVELINE KITOMARY UFUNGAJI wa tumbo baada ya kujifungua imekuwa ni utamaduni na desturi kwa muda mrefu katika jamii za Kiafrika hasa nchini Tanzania. Baada ya kubeba ujauzito kwa miezi tisa kina mama wengi huamini kufunga tumbo ni njia salama zaidi kwaajili ya kuzuia kutanuka au kuwa kubwa. Utamaduni huo ulikuwapo miaka yote ya mabibi … Continue reading Madhara wanayopitia kinamama waliofunga tumbo baada ya kujifungua
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed