Madhara wanayopitia kinamama waliofunga tumbo baada ya kujifungua

Na AVELINE KITOMARY UFUNGAJI wa tumbo baada ya kujifungua imekuwa ni utamaduni na desturi kwa muda mrefu katika jamii za Kiafrika hasa nchini Tanzania. Baada ya kubeba ujauzito kwa miezi tisa kina mama wengi huamini kufunga tumbo ni njia salama zaidi kwaajili ya kuzuia  kutanuka au kuwa kubwa. Utamaduni huo ulikuwapo miaka yote ya mabibi … Continue reading Madhara wanayopitia kinamama waliofunga tumbo baada ya kujifungua