24.3 C
Dar es Salaam
Thursday, August 11, 2022

Maandalizi yapamba moto uzinduzi wa ‘Utukufu wa Mungu Washuka’

NA CHRISTOPHER MSEKENA

MWIMBAJI anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili nchini, Elizabeth Nshimanje, amesema maandalizi ya uzinduzi wa albamu yake ‘Utukufu wa Mungu Washuka’ yanaendelea vizuri.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Nshimaje alisema uzinduzi huo utafanyika Agosti 25 mwaka huu katika  kanisa la ABC Tabata Relini jijini Dar es salaam kwa Askofu Flaston Ndabila hivyo wapenzi wa muziki huo wajitokeze kwa wingi kushuhudia tukio hilo.

“Nashukuru Mungu maandalizi yanakwenda vizuri, hii siyo siku ya kukosa kwani kutakuwa na waimbaji wengi watakaosindikiza uzinduzi huu wa CD na DVD yangu,” alisema Elizabeth.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,455FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles