22.7 C
Dar es Salaam
Sunday, June 4, 2023

Contact us: [email protected]

Lydia Onesmo kuzindua lipo jibu

Na Christopher Msekena, Dar es Salaam

Mrembo anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili nchini, Lydia Onesmo, anatarajia kufanya uzinduzi mkubwa wa albamu yake, Lipo Jibu.

Akizungumza na www.mtanzania.co.tz Lydia amesema uzinduzi wa albamu hiyo utafanyika katika kanisa la Ukombozi kwa Nabii BG Malisa jijini Mwanza, Mei 5, 2021.

“Mimi pamoja na Excellent Pictures tunawakaribisha watu wote wa Mwanza na maeneo ya jirani kwenye uzinduzi wa albamu yangu ya Lipo Jibu ambao utasindikizwa na Aniseti Butati na wengine wengi kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri,” amesema Lydia.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,283FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles