28.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, March 22, 2023

Contact us: [email protected]

Lulu Diva kutimiza ndoto za wahudumu wa baa

Brighiter Masaki

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas (Lulu Diva) amesema kwa sasa ameandaa mpango maalum kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaofanya shughuli za uhudumu wa baa.

Diva amesema ameamua kuja na mipango hiyo kwa sababu hata yeye alipitia huko kwani aliwahi kuwa mhudumu wa baa kabla ya kuwa staa wa muziki hivyo anatambua manyanyaso, dharau na matusi wanayokumbana nayo wahudumu hao.

Msanii huyo anayetamba na ngoma yake ya ONA amesema lengo kubwa litakuwa ni kuwapa ushawishi na kuwasaidia pale itapowezekana ili waweze kutimiza malengo yao.

Aidha Lulu amepata dili la kuwa balozi wa Campuni ya simu ya Infinit.

Kwa upande wake msanii wa Bongo fleva na bongo muvi Hemed Suleman alisema kuwa kwa sasa wasanii anaowakubali ni Mr Blue na yeye mwenyewe kwa kuwa wanafanya vizuri zaidi kwenye Tasnia.

Aliongeza kwa kusema kuwa ikitokea kauli ya mfalme mswati hapa Tanzania yakuoa wanawake wawili yeye bongo muvi hajamuona mwanamke hata mmoja wa kumwoa. wa Bongpo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, amesema kwa sasa amepanga kuelekeza nguvu zake katika mradi maalum wa kuwasaidia mabinti na vijana wanaofanya shughuli za uhudumu wa baa.

Diva amesema ameamua kuja na mipango hiyo kwa sababu aliwahi kuwa mhudumu wa baa kabla ya kuwa staa wa muziki hivyo anatambua manyanyaso, dharau na matusi wanayokumbana nayo wahudumu hao.

Msanii huyo anayetamba na wimbo wa ‘ONA’ amesema lengo kubwa litakuwa ni kuwapa ushawishi na atawasaidia watimize ndoto zao.

Lulu amepata dili la kuwa mmoja wa mabalozi wa Kampuni ya simu ya Infinit.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,089FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles