28.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

Lingo la Ushindi Katika Betway Tanzania

Utangulizi

 Hivi karibuni walariba wamekuwa wakizindua tovuti za kubashiri michezo kila uchao. Hata hivyo, Betway ambao tumekuwa tukifanya biashara hii tangu 2006 tumebaki kileleni bila pingamizi.Ustadi wao unadhihirika unapotembelea kiunga cha Betway Tanzania ambapo unakaribishwa na wavuti tulioutengeneza ukufae kwa kila namna.

\Michezo Chungunzima

Tumekuletea michezo unayoishabikia zaidi kama soka, raga, riadha, mbio za magari na dondi kutoka kila pembe ya dunia. Kando na haya tumejumlisha michezo mingine iliyo rahisi kubashiri sahihi kama vile mipira ya magongo, mikono, kikapu na neti, kandanda ya marekani, gofu,kriketi na mingineyo.

Soko Pana

La muhimu kwetu kama Betway ni kukuwezesha kuzidisha mapato yako kwa kila namna. Hivi tumekuandalia viteuzi vingi ambavyo ni pamoja na match result (1×2) kuchagua ni timu ipi itapata ushindi, Unders/Overs kwa nambari ya mabao,draw no bet inayokurudishia hela zako timu zikitoka sare,Double Chance kubashiri uwezekano wa timu yoyote kushinda,next goal kubashiri ni timu gani itakayofuatia kufunga, Both Teams to Score inayokupa ushindi timu zote zipatapo angalau bao moja na vingine vingi.

Vipengele Vyetu

Live Betting

Kuchelewa kuweka beti yako kusikupe wasiwasi kwa kuwa tunakupa nafasi ya kubashiri na kuweka beti yako michuano ingali inanendelea. Hili hukupa nafasi ya kufanya uamuzi bora kwa kuwa unafahamu jinsi mchezo unavyoendelea.

Cash Out

Hii ni huduma inayokupa nafasi ya kutoa fedha zako kabla ya mchezo kukamilika.Unaweza kuutupilia mbali ubashiri wako nasi tutakuregeshea amana yako yote au sehemu yake kulingana na uchaguzi wako na muda uliopita mchezoni.

Build a Bet 

Hiki hukusaidia kukusanya michezo na mechi ya kubashiri kwa ufasaha na kasi. Unachohitajika ni kubofya kidude cha kuzindua unapoingia kwenye akaunti yako.

Live Streaming

Tunakupa nafasi ya kufuatili matukio uliyoyakadiria moja kwa moja katika tovuti yetu ya Betway.

Kipengele hiki huandamana vyema na kile cha Cash Out kwani unapata nafsi ya kufanya uamuzi wa busara ili kujipatia ushindi.Kipengele hiki hakipatikani kwa matukio yote na huonyeshwa kwa ishara ya televisheni kinapokubalika.

Esports

Iwapo michezo uifurahiayo haipatikani kwa wakati ule, unaweza kuzindua sehemu hii na kupata michezo ya kielektroniki inayoendelea katika kategoria unazozipenda. Hii ni michezo kama vile CounterStrike na Overwatch ambayo pia tumeipa soko pana likufae.

Malipo ya Haraka  

Tumekurahisishia kuweka amana na kutoa pato hapa Betway kwa kuungana na watoa huduma za rununu. 

Kuweka Amana

Kwa kutumia  Airtel money, Tigo, Mpesa au Vodacom unaweza kuweka hela kwenye akaunti yako. Njia hizi isipokuwa Mpesa huhitaji uweke angalau TSh 1,000 na Tsh 1,00 kwa Mpesa.TSh 1,000,000 ni kiasi kikubwa zaidi cha hela unazokubaliwa kuweka.

Kutolea Ushindi

Tunakutumia pato lako aidha kwa Airtel money, Vodacom au Tigo unapagiza. Itachukua muda wa kati ya siku moja hadi tatu hela zako kukufikia.

Ziada na Bakshishi

Unapojiunga na Betway tunakupa ziada ya TSh 3,000 kukukaribisha.Bakshishi hii ingawaje inafuata masharti ambayo ni kuwa inadumu kwa siku 180 tu, unaweza kuitumia kwa spoti pekee,uitumie kama beti moja ila hivyo salio litachukuliwa unautoa ushindi wako. Betway tuna idhini ya kubadilisha vigezo na kanuni kwa wakati wowote bila kuhitaji ruhusa kutoka kwa wateja.

Hitimisho

Betway Tanzania ni tovuti ya walariba wakakamavu na wabunifu inayomshughulikia mchezaji vilivyo. Upungufu wake ni kukosa sehemu ya kasino na kuchukua muda mrefu kulipa washindi ikilinganishwa na wagombezi wake,pia hamna programu ya runu katika Betway. Hata hivyo, kutumia tovuti hii kubashiri kuna manufaa si haba ya kumezewa mate.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je. Naweza kuitoa ziada yangu kama ushindi?

La. Ziada hii hutumika kuwekea amana kwa mara moja tu.

Kuna ziada nyingine katika Betway?

Ndio. Kuna ziada tunayokupa kila unapomwalika rafiki yako kujiunga na betway.

Nisipoweka pesa kwenye akaunti yangu nitapata bakshishi?

Ndio. Tunakupa bakshishi ukifungua akaunti hata bila hela.

Naweza kutolea ushindi kwa Mpesa?

La. Kwa sasa hatutumii Mpesa kuwalipa washindi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles