27.1 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Lewandowski afikia rekodi Bayern


MPACHIKAJI mabao wa Bayern Munich, Robert Lewandowski, amecheka na nyavu katika mechi zote 16 alizocheza hivi karibuni.


Ikimaanisha, nyota huyo raia wa Poland ameifikia rekodi ya aliyekuwa mshambuliaji wa Bayern, Gerd Muller, aliyefanya hivyo msimu wa 1969-70.


Wakati huo huo, klabu ya Manchester City imeshahuriwa kumsajili Lewandowski baada ya kumkosa Cristiano Ronaldo aliyeibukia kwa wapinzani wao, Manchester United.


Aliyewaambia hivyo ni mkongwe wa Tottenham, Chris Waddle, akisema Lewandowski utakuwa usajili mzuri kwa Man City kuliko Harry Kane wanayemfukuzia.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles