LEGEND AFUNGUKA JINA MILES THEODORE

0
672

LOS ANGELES, MAREKANI


MWANAMUZIKI wa Marekani, John Legend, ameeleza maana ya jina la mwanawe wa pili, Miles Theodore Stephens kuwa linawakilisha mwanamuziki nguli, Miles Davis.

Hatua hiyo inakuja siku chache, baada ya  Legend, kumkaribisha mtoto wake huyo wa pili na kumpa jina la Miles Theodore Stephens.

“Tulimpa mtoto wetu wa kwanza wa kike jina la Luna Simone Stephens na kila jina tunalotoa kwa watoto wetu linakuwa na historia katika muziki.

“Miles  ni sawa na nguli wa muziki  Miles Davis na mke wangu, Chrissy Teigen analipenda jina la Theodore, hivyo likafanya kuwa Miles Theodore Stephens. Baada ya kuzaliwa nilipomshika alikuwa akifanana sawa na  Miles,” alisema Legend.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here