25.6 C
Dar es Salaam
Thursday, November 14, 2024

Contact us: [email protected]

LADY GAGA HATARINI KUKOSA KIZAZI

NEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki nchini Marekani, ambaye haishiwi vituko, Lady Gaga, yupo hatarini kukosa kizazi kutokana na kusumbuliwa na nyonga kwa kipindi kirefu.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 31, ameweka wazi kuwa bado anasumbuliwa na maumivu ya nyonga tangu alipovunjika mwaka 2013, hivyo kuna uwezekano akapata tatizo la kizazi kutokana na maumivu makali anayoyapata.

“Sina uhakika kama nitaweza kushika ujauzito, lakini natamani kuwa na familia kubwa ila sijui kwanini naendelea kupata maumivu ya nyonga kwa kiasi kikubwa, lakini ninaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa madaktari wangu,” alisema Lady Gaga.

Msanii huyo alitarajia kuanza ziara yake ya muziki wiki hii barani Ulaya akianzia Barcelona, lakini imesitishwa kwa muda hadi ataporuhusiwa na madaktar

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles