26.1 C
Dar es Salaam
Friday, December 9, 2022

Contact us: [email protected]

LADe wa Naki Music aiweka wazi ‘Water’

NA CHRISTOPHER MSEKENA

BAADA ya kufanya vizuri na wimbo, No Love, msanii wa kizazi kipya mwenye asili ya Nigeria, LADe, amerudi kivingine kwa mashabiki na video ya ngoma, Water aliyoiachia mwishoni mwa wiki.

Akizungumza na MTANZANIA, LADe alisema anaushukuru uongozi wake wa Naki Music ambao upo jijini New York, Marekani kwa kuwezesha ngoma hiyo kutoka na kuwafikia mashabiki duniani kote.

“ Tayari nimeachia Water katika mitandao yote ya muziki kama vile Tidal, YouTube, Apple Music, Spotify, Amazon Music, Deezer na mingine lakini bado nahitaji sapoti kutoka kwa mashabiki zangu hapo Bongo, watu waendele kwenye chaneli yangu ya YouTube (LADeVEVO) kuitazama,” alisema mwimbaji huyo wa Afro Beat na RnB.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,735FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles