25 C
Dar es Salaam
Sunday, October 6, 2024

Contact us: [email protected]

Kylie Jenner, Travis Scott ndoa yakaribia

NEW YORK, MAREKANI

MWISHONI mwa wiki iliyopita, mrembo tajiri nchini Marekani mwenye umri mdogo, Kylie Jenner, aliianika pete yake ya uchumba yenye vipande vya almasi.

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 21, amefanikiwa kupata mtoto na rapa Travis Scott, hivyo tayari wawili hao wameweka wazi kuwa wapo kwenye mipango ya kufunga ndoa.

Mwezi uliopita kabla ya kuvishana pete, Scott aliwaambia mashabiki wake kwamba, wanakaribia kufunga ndoa lakini hawakuweka wazi ni lini ndoa hiyo itafungwa.

Kitendo cha ndoa hiyo kukaribia, dada wa Kylie Jenner, Khloe Kardashian, anaonekana kuumia huku akidai kwamba, inamuumiza kuona mdogo wake anakuwa wa kwanza kuolewa kabla ya yeye.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles