23.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 28, 2021

Kylie Jenner, Travis Scott mambo safi

 LOS ANGELES, MAREKANI 

MWANAMITINDO kutoka familia ya Kardashian, Kylie Jenner na baba wa mtoto wake Travis Scott But mambo yanaanza kuwa sawa baada ya kukaa pamoja kwa miezi mitatu kutokana na hofu ya virusi vya corona. 

Mwishoni mwa mwaka jana wawili hao waliachana, lakini walikuwa pamoja katika suala la kulea mtoto wao mwenye umri wa miaka miwili sasa. 

Taarifa kutoka watu wa karibu na familia hiyo wamedai kwamba, mambo yameanza kuwa sawa kutokana na kuwa pamoja kwa miezi mitatu nyumbani kwa mrembo huyo kwa hofu ya virusi vya corona. 

Kutokana na kuwa pamoja kwa kipindi hicho chote wanaonekana kurudisha penzi lao japokuwa hakuna aliyeweka wazi na kila mmoja anadai wapo pamoja kwa ajili ya kulea mtoto wao. Lakini mashabiki wanaamini kama wasingekuwa wapenzi wasingeweza kukaa pamoja. 

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
158,460FollowersFollow
519,000SubscribersSubscribe

Latest Articles