24.6 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 8, 2021

Kylie Jenner ataka watoto saba

New York, Marekani

MWISHONI mwa wiki iliopita mwanamitindo kutoka familia ya Kardashian, Kylie Jenner, ameweka wazi ndoto zake ni kuja kuwa na familia ya watoto saba.

Kwa sasa mrembo huyo mwenye umri wa miaka 22, ana mtoto wa miaka miwili anayejulikana kwa jina la Stormi huku baba wa mtoto huyo akiwa ni Travis Scott.

Hata hivyo mrembo huyo amedai mipango hiyo haipo kwa sasa, ila anaamini akiwa tayari ataongeza wengine sita.

“Nahitaji jumla ya watoto saba, lakini sio kwa sasa, kulea ujauzito sio jambo dogo, jambo gumu sana, hivyo huu sio wakati wake wa kuongeza watoto wengine hadi hapo baadae,” alisema mrembo huyo.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,538FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles