29.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 11, 2024

Contact us: [email protected]

Kunal Kapoor: Kuna haja ya Wahindi kuja ‘kushoot’ Zanzibar

Kunar Kapoor
Kunar Kapoor

WAKATI tamasha la Ziff likizinduliwa jana visiwani Zanzibar, prodyuza mashuhuri kutoka nchini India, Kunal Kapoor, amesema kuna  haja ya wasanii wa India kuja kufanyia video zao visiwani hapa kutokana na mandhari mazuri na yenye kuvutia.

Kunal ambaye ndiye mgeni rasmi wa Tamasha la Ziff mwaka huu, alisema Zanzibar ina mandhari mazuri yenye kuvutia ambayo waigizaji wa India na maeneo mengine wanaweza kuja kupiga picha za video zao.

“Tunaweza kuwashawishi waigizaji wa India kuja kupiga picha za filamu zao hapa Zanzibar kwa kuwa kuna mandhari mazuri na ya kuvutia lakini hii haitoshi, kinachotakiwa ni kuwa na wigo mpana wa wataalamu wa masuala ya filamu kutoka mataifa mengine yakiwemo, Sirilanka, Bangladesh, Pakistan, Asia na  kwingineko.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles