27.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 7, 2023

Contact us: [email protected]

KOREA KASKAZINI YAFANYIA MAJARIBIO INJINI MPYA YA KURUSHA ROKETI

Pyongyang, Korea Kaskazini


KOREA Kaskazini imefanyia majaribio ya injini kubwa maalum yenye uwezo wa kurusha angani mtambo wa Satellite.

Kwa mujibu wa taarifa ya vyombo vya habari nchini humo Rais wa nchi hiyo, Kim Jong Un, amenukuliwa akisema kuwa, injini hiyo mpya itaisaidia Korea Kaskazini, kufikia uwezo wa kimataifa wa kufyatuaji Satellite angani.

Wachanganuzi wanasema majaribio ya mtambo huo wa kurusha angani roketi–ambayo bado haijathibitishwa– pia itakuwa jambo la kuangaliwa kwa undani katika nia ya Pyongyang kuunda zana za kinuklia zenye masafa marefu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,885FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles