26.9 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Kombe la Dunia na Machaguo Spesho Meridianbet Twen’zetu Kibingwa Qatar

Kila baada ya miaka minne wapenda soka kote duniani huwa wanaungana na kushuhudia utamu wa burudani ya macho na moyo nikimaanisha hisia zote huwa uwanjani. Ndio Namaanisha Kombe la Dunia, ni jukwaa maalum kabisa la Mabingwa kuonesha ukali wao na Mabingwa wenzao.

Na wewe una nafasi ya kuonesha ubingwa wako kwa kubeti kwenye nyumba ya Mabingwa, Meridianbet ambao safari hii hawana jambo dogo kwenye Kombe la Dunia, kwani wamekuongezea machaguo spesho na rahisi.

Ni Mataifa 32 mechi 64 kutoka mabara 6 ambayo ni mwanachama wa FIFA, Afrika, Ulaya, Asia, Amerika Kusini na Kaskazini na nchi za Carribean. Meridianbet wanakupa Odds bomba na kubwa kuliko kawaida, msimu huu wa Kombe la Dunia, ndiyo maana wanakwambia Twendezetu Kibingwa Qatar. Machaguo spesho ya kombe la dunia.

Leo nataka kukwambia jambo jipya kutoka Meridianbet, lakini kabla ya yote nataka kukujuza kwa ufupi tu kuhusu Kombe la Dunia, hili ni Kombe la pili kutengenezwa baada ya lile la kwanza kuchukuliwa moja kwa moja na nchi yenye vipaji vingi na vya Soka ni Brazil mara ya mwisho wakilichukua mwaka 2002 na kuliweka kabitini na ndio nchi iliyochukua mara nyingi Zaidi, mara 7 wakifuatiwa na Ujerumani aliyechukua mara 4.

Si unawakumbuka magwiji hawa, Ronaldo Delima, Ronadinho, Kaka, Roberto Carlos, huko Brazil pia ndiko wanatoka nyota kama Neymar Jr, Vinicious Jr, Antony, Casemiro. Odds bomba za Kombe la dunia meridianbet.

Kombe la Dunia lina urefu wa sentimita 36.8 na uzito wa 6.1 kg, thamani yake ni dola za Marekani milioni 42 sawa na TZS Bilioni 96.6 ambazo mshindi wa kwanza anazinyakua. Hili ndio kombe lenye thamani kubwa zaidi kuliko makombe yote unayoyajua wewe. Machaguo spesho ya kombe la dunia yapo Meridianbet.

Ukiachana na Mabingwa wengine hata wewe pia ni bingwa wa maisha yako, itoshe kusema tu wewe ni mfalme, au wewe ni Malkia kwenye himaya yako na unaweza kuwa mfalme na Malkia ukibeti kwenye nyumba ya mabingwa ya Meridianbet ambao wamekuwekea machaguo spesho ya kombe la dunia na ni rahisi kushinda, na kujitengenezea utawala wako. Pia kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni kama vile Aviator, Roulette na Poker. Beti sasa.

Nikudokezee tu kwa uchache bila kumaliza utamu wote, timu zinazoshiriki kombe la dunia zipo 32, unaweza kubeti timu gani itafuzu robo fainali, au timu gani itafuzu nusu fainali, timu gani itachukua kombe machaguo hayo yana odds bomba na kubwa zaidi.

Usisahau kuna timu zinatoka Afrika kama vile Senegal yenye Sadio Mane, Tunisia, Ghana n.k unaweza kubeti ni timu gani ya Afrika itafuzu robo fainali au hata kama unahisi itachukua ubingwa, nafasi ni yako tu na Machaguo spesho yapo kwaajili yako bingwa wa kubeti.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles