Kocha mpya Yanga ajifunga mwaka mmoja na nusu

0
387

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Klabu ya Yanga leo imemtangaza Mohamed Nasreddin Al-Nabi kuwa kocha wao mpya na kuingianae kandarasi ya mwaka mmoja na nusu.

Tukio hilo limefanyika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mtaa wa Jangwani na kuongozwa na Kaimu Katibu Mkuu wa klabu hiyo Haji Mfikirwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here