22.4 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

Kipigo chaua bondia

Ammna, Jordan

Chipukizi wa ngumi za ridhaa raia wa Jordan, Rashed Al-Swaisat, amefariki dunia huku chanzo kikielezwa kuwa ni kipigo alichopata katika pambano lake la Aprili 16, mwaka huu.

Al-Swaisat alipata majeraha ya ubongo alipozichapa katika michuano ya dunia ya vijana ya AIBA.

Wakati wa pambano hilo, kijana huyo alitibiwa akiwa ulingoni, kabla ya kukimbizwa hospitali alikokwenda kufanyiwa upasuaji wa ubongo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,305FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles