Kiongozi wa mbio za mwenge agoma kuzindua mradi

0
1010

Amina Omary, Tanga

Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa,  Mzee Mkongea Ally,  amegoma kuzindua mradi wa ujenzi wa madarasa mawili na ofisi ya Mwalimu katika Shule ya Sekondari Mafisa iliyopo wilayani Kilindi.

Amefikia hatua hiyo baada ya kutoridhika na ujenzi wa majengo hayo uliyogharimu Sh milioni 46.7.

Hata hivyo ameiagiza Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kwenda kukagua mradi huo ili kubaini ubadhirifu huo wa fedha na kuweza kuchukuwa hatua.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here