25.2 C
Dar es Salaam
Thursday, November 7, 2024

Contact us: [email protected]

Kimeumana kunako ligi ya mabingwa na ligi ya Europa

Kwani Meridianbet Wanasemaje Wiki Hii?

Wakati msimu wa 2020/21 ukiwa unaelekea ukingoni, mashabiki wa soka wanayatizama mashindano ya UEFA na Europa kwa jicho la ziada. Meridianbet tunasema “kimeumana wiki hii!”

Real Madrid kuwaalika Chelsea katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Uefa. Timu zote zinajipambanua kwenye Ligi zao za nyumbani, lakini hii ni Ligi ya Mabingwa. Ifuate Odds ya 3.14 kwa Madrid kupitia Meridianbet jumanne hii.


Sambamba na mashindano ya Ulaya, kupitia Meridianbet unaweza kubashiri kwenye ligi soka ya Championship kule Uingereza. Brentford vs Rotherham United ni moto!! Odds ya 1.51 kwa Brentford inaweza kuwa na faida kwako.

Jumatano hii tutasafiri mpaka nchini Ufaransa. PSG kuwaalika Man City. Ukiacha ukubwa wa timu hizi, hii itakuwa ni muendelezo wa vita ya Pochettino vs Guardiola, watoto wa mjini wanasema ni “hatari na nusu”. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.99 kwa PSG.

Kunako LaLiga, Athletic Bilbao watachuana na Real Valladolid. Meridianbet tunakwenda na kila ligi, mwendo ni ule ule. Odds Bora kwenye mchezo huu imekwenda kwa Bilbao, dau lako litaweza kuzidishwa mara 1.86 ukibashiri kupitia Meridianbet.

Patashika nguo kuchanika pale Old Trafford alhamisi hii. Manchester United uso kwa uso na AS Roma. Chris Smalling na Henrikh Mkhitaryan watarejea nyumbani wakiwa na timu ya Roma. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.59 kwa United kwenye mchezo huu wa nusu fainali ya Ligi ya Europa.

Tutahitimisha wiki ya kibingwa kwa mchezo wa Villareal vs Arsenal. Hakika Ligi ya Europa msimu huu inanoga. Emery Unai kuivaa Arsenal akiwa na vijana wa Villareal. Kwani Arsenal wenyewe wanasemaje? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.74 kwa Arsenal kwenye mchezo huu wa kuisaka fainali ya Ligi ya Europa msimu huu.

Bashiri na Meridianbet sasa ili uwe miongoni mwa familia ya mabingwa! Familia hii inajengwa kwa Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

3 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles