27.7 C
Dar es Salaam
Wednesday, February 21, 2024

Contact us: [email protected]

KILA WIKI NI FURSA YA KUTENGENEZA FAIDA NA MERIDIANBET.

Tunakupatia Odds Kubwa Kwenye Michezo ya Soka Wiki Hii!

Baada ya mzunguko wa 4 wa kombe la FA, EPL itaendelea wiki hii. Meridianbet hatukuachi nyuma, tunakwenda na wewe kila hatua!

Southampton atakamribisha tena Arsenal pale St. Mary’s Stadium. Baada ya kumtoa kwenye FA, Soton anaingia kwenye mchezo huu akiwa na lengo la kuendelea kumuumiza Arsenal. Itawezekana?? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.55 kwa Arsenal kupindua meza Jumanne hii.

Chelsea atakuwa nyumbani “Stamford Bridge” kuwakaribisha WolverhamptonJumanne hii. Bado timu hizi zinajitafuta katika kupata matokeo yanayoendana na ubora wa vikosi vyao. Wolves alishinda mchezo wa kwanza, lakini vipi wiki hii ataibuka kidedea tena? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.70 kwa Chelsea kama mwenyeji wa mchezo huu.

Macho ya mashabiki wa EPL yataangazia zaidi mchezo wa Alhamisi ambapo Tottenham watawaalika Liverpool. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu 2 zinazopambania kuwania ubingwa wa EPL msimu huu.

Spurs anaingia kwenye mchezo huu akitoka kwenye ushindi wa FA Cup na EPL, Liverpool anaingia akiwa na machungu ya kutopata matokeo kwenye michezo 4 mfululizo, kipigo dhidi ya Man United (FA Cup) na Burnley (EPL) hakika vinawatia ndimu Liverpool kwenye mchezo huu.

Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.40 kwa bingwa mtetezi wa EPL – Liverpool.

Kule kwenye Serie A kutakuwa na mchezo wa Milan Derby, Inter Milan vs AC Milan. Timu zote zinawania Scudetto msimu huu zikiwa katika nafasi ya 1 na 2. Nani ataweka wigo wake vizuri? Meridiabet tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa Inter Jumanne hii.

Atalanta uso kwa uso na Lazio Jumatano hii. Hizi ni timu ambazo hazipo mbali sana na nafasi 4 za juu kwenye msimamo wa Serie A. Atalanta (5) na Lazio (7) zote zinanafasi ya kupambania Scudetto msimu huu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.00 kwa Atalanta.

Napoli atachuana na Spezia kwenye mchezo mwingine wa Serie A siku ya Alhamisi. Timu zote zinanafasi ya kukutengenezea faida kubwa ukiwa na Meridianbet. Tumekuwekea Odds ya 1.40 kwa Napoli kama mwenyeji wa mchezo huu.

Kule La Liga kutakuwa na mtanange wa Sevilla vs Valencia. Timu zote zipo katika kiwango kizuri kwa sasa na chochote kinaweza kutokea kwenye mchezo huu. Kama Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 1.70 kwa Sevilla Jumatano hii.

- Advertisement -

Related Articles

5 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles