22.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 14, 2024

Contact us: [email protected]

Kila bao Simba milioni 10

Mwandishi Wetu,Mtanzania Digital

KUELEKEA mchezo African Football League(AFL)kati ya Simba na Al Ahly ya Misri, Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa sh. milioni 10 kwa kila bao litakalofungwa na wanamsimbazi hao katika kila hatua ya michuano hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ndiye aliyetoa ujumbe huo wa Rais Samia kwa wanasimba leo Oktoba 18,2023 wakati muendelezo wa shughuli za hamasa kwa mashabiki wa Mbagala.

Mchezo huo wa ufunguzi utachezwa Ijumaa, Oktoba 20, 2023 kwenye dimba la Benjamini Mkapa, jijini Dar es Salaam.


- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles