24.8 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

KIKWETE: SAFARI ZIMENIFUNZA


NA VERONICA ROMWALD–DAR ES SALAAM   |

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete, amesema safari mbalimbali alizozifanya akiwa madarakani na anazozifanya sasa hivi, zimemsaidia kujifunza na anaendelea kujifunza mambo mengi zaidi.

Kikwete anasema miongoni mwa mambo hayo ni namna ambavyo nchi nyingine hasa zilizoendelea zinavyokabiliana na vifo vitokanavyo na uzazi.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi usiku katika hafla ya kusherehekea miaka mitano ya kuanzishwa kwa Taasisi ya Childbirth Survival International (CSI), inayoelimisha jamii kuhusu masuala ya uzazi salama.

“Wanasema heri kutembea bure, kuliko kukaa bure, nimekaa bure Msoga lakini nimetembea nimeona, wenzetu wamewekeza mno katika suala la afya ya mama na mtoto,” alisema.

Kikwete alisema kina mama wengi na watoto wanafariki dunia kwa matatizo na magonjwa yanayoweza kuzuilika.

“Maisha ya mama na mtoto yanapotea kila siku, lazima …

Kwa habari zaidi jipatie nakala ya gazeti la MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,268FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles