31.2 C
Dar es Salaam
Saturday, December 2, 2023

Contact us: [email protected]

Kidum abatizwa kutanua muziki wake

7503675178_7340b4c557_bBUJUMBURA, BURUNDI

MSANII aliyefanya vizuri na wimbo wa ‘Mulika Mwizi’, Jeamn Pierre ‘Kidu’, amebatizwa mwishoni mwa wiki iliopita huku akilenga kuongeza mashabiki wa muziki wake kwa upande wa muziki wa dini.

Msanii huyo ameamua kuchukua hatua hiyo ili kuteka idadi kubwa ya mashabiki kwa kuwa ataanza kufanya muziki wa dini, huku akiendelea na muziki wake wa kawaida.

“Hii ni sehemu mojawapo ya kuzidi kuongeza mashabiki wa muziki wangu, nitaanza kufanya muziki wa injili, lakini bado nitaendelea kufanya muziki wangu kama kawaida, elimu ya biblia niliyopata itaniongoza katika muziki wa dini.

“Nina mashabiki wengi Afrika Mashariki, lakini kuna wengine wataongezeka baada ya mimi kuimba nyimbo za dini na hilo pia ni lengo la kubatizwa kwangu,’’ alieleza Kidum.

 

 

 

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles