30.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

Kate Kambi aiweka wazi ‘Mkombozi’

PRETORIA, AFRIKA KUSINI


MWIMBAJI anayekuja kwa kasi kwenye gospo kutoka Pretoria, Afrika Kusini, Kate D Kambi, ameendelea kuwaomba wapenzi wa muziki huo kusikiliza na kutafakari ujumbe muhimu uliopo ndani yake.

Akizungumza na MTANZANIA, Kambi alisema ndani ya wimbo Mkombozi ameimba visa vya kweli ambavyo vipo kwenye vitabu vitukufu vikionyesha jinsi Mungu amekuwa akiwakomboa wanadamu.

“Wimbo una siku chache kwenye chaneli yangu ya YouTube, nimeweka mashahiri ya wimbo ambayo ni visa vya kweli mfano ni ule wa Daniel kutupwa kwenye shimo lenye simba na simba hawakumla. Hiyo inaonyesha jinsi gani ambavyo Mungu alikuwa mkombozi kwa Daniel.

“Pia nitoe shukurani kwa SSK Production ambao wameshiriki kukamilisha wimbo huu ambao naamini utawabariki wengi na kuwafanya wasiomtegemea Mungu kuanza kumtegemea,” alisema mwimbaji huyo mwenye asili ya Uvira, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles