Kariakoo walia utitiri wa kodi

0
1309

FRANK KAGUMISA(SAUT) na TUNU NASSOR – Dar es Salaam

WAFANYABIASHARA wa Kariakoo, Dar es Salaam, wameiomba Serikali kuweka wazi  ukokotoaji wa kodi kwa mizigo inayoagizwa  kuondoa mianya ya rushwa na kupotea  mapato ya Serikali.

Walikuwa wakizungumza jana katika mkutano wao na mawaziri watatu  waliokwenda kusikiliza changamoto zao.

Kwa mujibu wa  wafanyabiashara hao,  kutokuwapo  uwazi kunasababisha kuwapo kwa mianya ya rushwa kati yao  na maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabishara Tanzania (JWT), Mchungaji Silva Kiondo, alisema kutokana na kukosekana   uwazi, mizigo inayoagizwa na wafanyabiashara wa Kariakoo imeshuka.

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here